• HABARI MPYA

    Friday, October 04, 2013

    RAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA AZAM COLA LEO

    IMEWEKWA OKTOBA 4, 2013 SAA 4:33 USIKU
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza taarifa kuhusu kiwanda cha Azam Cola, kinachomilikiwa na kampuni ya S.S. Bakhresa Group kilichopo eneo la Mwandege, Mkuranga, mkwani Pwani mchana wa leo wakati hafla maalum ya uzinduzi wa kiwanda hicho . 

    Rais Kikwete alijionea shughuli nzima za uzalishaji hadi upakiaji kiwandani hapo

    Rais Kikwete akitalii kiwandani hapo, akiwa ameambatana na mkewe Mama Salma 

    Rais Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya S.S. Bakhresa, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na mkewe Mama Salma KIkwete. Kulia kwake ni Dk Abdallah Kigoda  

    Rais Kikwete akihutubia kiwandani hapo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: RAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA AZAM COLA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top