• HABARI MPYA

    Friday, October 04, 2013

    UZINDUZI WA KAMPENI ZA NANI MTANI JEMBE MAKAO MAKUU TBL ULIVYOFANA LEO

    IMEWEKWA OKTOBA 4, 2013 SAA 4:15 USIKU

    Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akinywa bia hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Nani Mtani Jembe makao makuu ya Kampuni ya Ba Tanzania (TBL), Ilala, Dar es Salaam leo, 

    Shabiki wa Simba SC akipuliza vuvuzela wakati wa shindano maalum kwenye kampeni za Nani Mtani Jembe BL leo

    Mashabiki wa Simba SC wakishindana na wa Yanga SC kuvuta kamba

    Mashabiki wa Yanga wakivuta kamba

    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Mohamed Bhinda kulia akicheza Futsall na Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Joseph Itang'are 'Kinesi'. Mbele ya kamera ni Meneja wa Kilimanjaro, George Kavishe na Ibrahim Kyaruzi wa Executive Solutions, Waratibu wa udhamini wa Simba na Yanga kwa TBL   

    Shabiki wa Yanga SC aliyeshinda shindano la kupiga danadana

    Waafanyakazi wa TBL wakishangilia shindano la danadana

    Mohamed Bhinda akimkabidhi zawadi shabiki wa Yanga aliyeshinda shindano la dandana

    Mzee Kinesi akimkabidhi shabiki wa Simba SC zawadi kwa kufika fainali ya shindano la danadana

    Shabiki wa Simba SC akiwa amefunikwa kitambaa usoni kwa ajili ya kupiga penalti katika shindano maalum

    Kavishe akifurahia na mfanyakazi mwenzake wa TBL

    Mzee Kinesi akihamasisha mashabik kushiriki shindano la Nani Mtani Jembe

    Wakati wa chakula

    Ongeza hapa; Mohamed Bhinda akichukua chakula

    Rapa wa bendi ya Africans Stars 'Twanga Pepeta' akiburudisha mashabiki katika hafla hiyo na bendi yake hiyo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: UZINDUZI WA KAMPENI ZA NANI MTANI JEMBE MAKAO MAKUU TBL ULIVYOFANA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top