• HABARI MPYA

    Friday, October 04, 2013

    DIDA AUMIA MAZOEZINI YANGA IKIJIANDAA KUIKABILI MTIBWA JUMAPILI TAIFA

    IMEWEKWA OKTOBA 4, 2013 SAA 11:35 JIONI

    Daktari wa Yanga SC, akimpatia huduma ya kwanza, kipa Deo Munishi 'Dida' baada ya kuumia kwenye mazoezi ya timu hiyo asubuhi ya leo Uwanja wa sekondari ya Loyola, Mabibo, Dar es Salaam. Yanga inajiandaa kucheza na Mtibwa Sugar Jumapili katika Ligi Kuu.   

    Kipa namba wa Yanga SC, Ally Mustafa 'Barthez' akimsaidia Dida baada ya kuumia. Wengine kulia ni Rajab Zahir na Mrisho Ngassa

    Mrisho Ngassa akiwatoka wenzake mazoezini

    Ngassa yupo fiti kwa ajili ya mechi ya kesho

    Yanga SC wakijifua leo Mabibo

    Kocha Ernie Brandts kulia akiwaongoza vijana wake mazoezini leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: DIDA AUMIA MAZOEZINI YANGA IKIJIANDAA KUIKABILI MTIBWA JUMAPILI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top