AFC Leopard imepata pointi ya kwanza katika Kundi B, Kombe la Mapinduzi jioni hii baada ya sare ya bila kufungana na wenyeji KMKM katika Kombe la Mapinduzi, Uwanja Amaan, Zanzibar. Kumbuka, Leopard ilifungwa 1-0 na Simba SC juzi katika mchezo wa kwanza wa kundi hilo, wakati KMKM ilifungwa 3-2 na KCC ya Uganda. Simba na KCC watamenyana kuanzia saa 2:00 usiku Uwanja wa Amaan pia.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment