• HABARI MPYA

    Monday, January 06, 2014

    ARSENAL YAPEWA COVENTRY NYUMBANI RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA, CHELSEA NA STOKE

    TIMU ya Arsenal itacheza nyumbani mechi ya Raundi ya Nne ya Kombe la FA dhidi ya timu ya Daraja la Kwanza, Coventry.
    Vigogo wote wa Ligi Kuu wametenganishwa katika Raundi hiyo, huku Chelsea ikiwa mwenyeji wa Stoke, wakati mshindi wa mechi ya marudiano kati ya Manchester City na Blackburn atacheza nyumbani na Bristol City au Watford.
    Stevenage baada ya kuitoa Doncaster watamenyana na washindi mara tano wa Kombe la FA, Everton.
    Safari inaendelea: Nyota wa Arsenal, Santi Cazorla akishangilia baada ya kufunga katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur

    RATIBA RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA (Mechi zitachezwa wikiendi ya Januari 25 na 26)

    Sunderland v Kidderminster or Peterborough
    Bolton v Cardiff
    Southampton v Yeovil
    Huddersfield v Charlton or Oxford
    Port Vale or Plymouth v Brighton
    Nottingham Forest v Ipswich or Preston
    Southend v Hull
    Rochdale v Macclesfield or Sheffield Wednesday
    Arsenal v Coventry
    Stevenage v Everton
    Wigan or MK Dons v Crystal Palace
    Chelsea v Stoke
    Blackburn or Manchester City v Bristol City or Watford
    Bournemouth or Burton v Liverpool
    Birmingham, Bristol Rovers or Crawley v Swansea
    Sheffield United v Norwich or Fulham
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YAPEWA COVENTRY NYUMBANI RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA, CHELSEA NA STOKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top