• HABARI MPYA

    Monday, January 06, 2014

    HII NDIYO SIMBA SC...LAZIMA UKAE, KMKM ILIVYOVURUGWA NA MNYAMA KOMBE LA MAPINDUZI

    Mfungaji wa bao pekee la Simba SC katika mechi na KMKM usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar katika mchezo wa mwisho wa Kundi B Kombe la Mapinduzi, Amri Kiemba akimtoka beki wa wa wapinzani hao katika mchezo huo Mnyama alishinda 1-0 na kufuzu Robo Fainali ya michuano hiyo.
    Zahor Pazi akiwalamba chenga mabeki wa KMKM
    Abdulhalim Humud 'Gaucho' alicheza vyema katika kiungo
    Beki wa KMM, Khamis Ali akimdhibiti mshambuliaji wa Simba SC, Ali Badru
    Ali Badru akimtoka Khamis Ali
    Miraj Athumani 'Madenge' akimtoka mchezaji wa KMKM
    Kipa wa KMKM, Mudathir Khamis akidaka mpira mbeleya mshambuliaji wa Simba SC, Betram Mombeki huku beki wake akimlinda
    Betram Mombeki akiutengeneza mpira mbele ya mabeki wa KMKM
    Kocha Msaidizi wa Simba SC, Suleiman Matola katikati akiwapa maelekezo ya kitaalamu wachezaji wake, Said Ndemla kulia na Adeyum Saleh kushoto kabla ya kuingia uwanjani wakitokea benchi
    Kocha wa KMKM, Ali Bushiri akitafakari wakati mchezo ukiendelea huku timu yake iko nyuma kwa bao 1-0  

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HII NDIYO SIMBA SC...LAZIMA UKAE, KMKM ILIVYOVURUGWA NA MNYAMA KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top