• HABARI MPYA

    Tuesday, January 07, 2014

    AZAM FC WALIVYOIFANYIA 'UKATILI' ASHANTI UNITED KOMBE LA MAPINDUZI

    Beki wa Azam FC, Said Mourad (wa pili kushoto) akiwa amepiga mpira kichwa na kwenda sentimita chache katika mchezo wa mwisho wa Kundi C, Kombe la Mapinduzi usiku wa Jumatatu dhidi ya Ashanti United Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 1-0. Ashanti ilihitaji sare tu ili kuingia Robo Fainali, lakini kwa kufungwa imetolewa na Azam ambayo tayari ilikuwa imekwishafuzu kabla ya mechi ya leo
    Mshambuliaji wa Azam FC, Muamad Ismael Kone kulia akipambana na mabeki wa Ashanti United kugombea mpira wa kona
    Kipa wa Ashanti, Juma Mpongo wa tatu kushoto akiwa amepangua mpira wa juu
    Beki wa Ashanti, akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Azam, Gaudence Mwaikimba
    Kiungo wa Azam FC, Ibrahim Mwaipopo akimtoka beki wa Ashanti Abdul Mtiro
    Beki wa Azam, Samih Hajji Nuhu kulia akimtoka beki wa Ashanti
    Muamad Ismael Kone akimtoka beki wa Ashanti
    Kipa wa Ashanti, Juma Mpongo akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuumia
    Mchezaji wa Ashanti akipiga mpira kichwa dhidi ya mshambuliaji wa Azam, Gaudence Mwaikimba
    Farid Mussa wa Azam akipiga kichwa dhidi ya beki wa Ashanti
    Timu zinaingia uwanjani

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOIFANYIA 'UKATILI' ASHANTI UNITED KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top