• HABARI MPYA

    Sunday, January 05, 2014

    CHELSEA YAPETA KOMBE LA FA..JOHN OBI MIKEL AFANYA MAMBO

    AKICHEZA mechi yake ya 300, kiungo John Obi Mikel amefunga bao katika ushindi wa Chelsea wa 2-0 katika Raundi ya tatu ya Kombe la FA jioni hii Uwanja wa iPro.
    Kwa ushindi huo, The Blues inayofundishwa na Jose Mourinho imefuzu kuingia Raundi ya nne ya Kombe la FA.
    Mikel alifunga bao lake dakika ya 66 kabla ya Oscar kufunga la pili dakika ya 71.
    Raha ya bao: John Obi Mikel akishangilia baada ya kuifungia Chelsea
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YAPETA KOMBE LA FA..JOHN OBI MIKEL AFANYA MAMBO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top