• HABARI MPYA

    Sunday, January 05, 2014

    HATIMAYE KIIZA, OKWI WATUA DAR BAADA YA 'LONGOLONGO NDEEEFU'

    Hatimaye washambuliaji Waganda wa Yanga SC, Emmanuel Okwi (katikati) na Hamisi Kiiza (chini) wamewasili jioni hii mjini Dar es Salaam wakitokea kwao Kampala, walipokwenda kwa mapumziko ya mwaka mpya. Wachezaji hao walitakiwa kuwasili wiki iliyoita, lakini wamekuwa wakitoa ahadi za uongo za kurejea hadi leo walipowasili kweli. Bado haijajulikana uongozi wa Yanga utawachukulia hatua gani wachezaji hao kwa kitendo hicho cha utovu wa nidhamu.
    Kiiza akiwa ameshika Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu msimu uliopita
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HATIMAYE KIIZA, OKWI WATUA DAR BAADA YA 'LONGOLONGO NDEEEFU' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top