• HABARI MPYA

    Thursday, January 09, 2014

    COASTAL UNION WAENDA OMAN KUWEKA KAMBI YA WIKI MBILI

    Kikosi kizima cha Coastal Union kinaondoka leo kwenda Muscat, Oman kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Coastal inakwenda na Oman kwa mwaliko wa klabu kongwe huko, Fanja na ikiwa huko pamoja na kupata kambi nzuri ya mazoezi, pia itapatiwa mechi za kujipima nguvu. Mwaka jana Fanja iliialika Simba SC.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COASTAL UNION WAENDA OMAN KUWEKA KAMBI YA WIKI MBILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top