• HABARI MPYA

    Thursday, January 16, 2014

    KIBABU CHA YANGA NA WAJUKUU WAKE UTURUKI...

    Mkurugenzi wa Ufundi, Kocha Mkuu na Meneja wa Yanga SC, Hans van der Pluijm kulia akiwa na wachezaji wa timu hiyo, Waganda Emmanuel Okwi na Hamisi Kiiza kushoto kwake leo baada ya mazoezi katika kambi ya timu hiyo mjini Antalya, Uturuki.
    Kutoka kulia ni Job Ibrahim, Haruna Niyonzima, Pluijm na Ngassa.  

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIBABU CHA YANGA NA WAJUKUU WAKE UTURUKI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top