MANCHESTER City imeilaza mabao 6-0 Wes Ham United katika Nusu Fainali ya kwanza ya Kombe la Ligi England usiku huu Uwanja wa Etihad.
Alvaro Negredo amefunga mabao matatu katika dakika za 12, 26 na 49, kabla ya Yaya Toure kufunga dakika ya 40, Edin Dzeko mawili dakika za 60 na 89.
Sasa kocha Manuel Pellegrini na kikosi chake atakuwa kazi nyepesi katika mchezo wa marudano Uwanja wa Upton Park wiki mbii zijazo
0 comments:
Post a Comment