• HABARI MPYA

    Thursday, January 09, 2014

    RAHA YA KUPENDA SIMBA SC NI VITU KAMA HIVI...USHINDI POPOTE KWA YEYOTE

    Ramadhani Singano 'Messi' aliyesujudu kumshukuru Mungu baada ya kufunga bao la kwanza kati ya mawili aliyofunga katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Chuoni ya Unguja jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar katika Robo Fainali ya Kombe la Mapinduzi. Simba SC imeingia Nusu Fainali na itamenyana na KCC ya Uganda kesho Uwanja wa Amaan, Saa 2:00 usiku.
    Ramadhani Singano akimtoka beki wa Chuoni
    Messi akimtesa beki wa Chuoni
    Beki wa Chuoni akilala chini kutoa mpira nje miguuni mwa mshambuliaji wa Simba SC, Haroun Chanongo
    Kona langoni mwa Chuoni
    Ramadhani Chombo 'Redondo' katikati akipambana na wachezaji wa Chuoni
    Beki wa KMKM akimdhibiti mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe
    Messi akimtesa beki wa Chuoni
    Nssor Masoud 'Chollo' wa Simba SC akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Chuoni
    Chombo 'Redondo' akipambana na mchezaji wa Chuoni
    Mshambuliaji wa Simba SC, Ali Badru akipambana na wachezaji wa Chuoni
    Awadh Juma wa Simba akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Chuoni
    Kikosi cha Chuoni
    Kikosi cha Simba SC
    Mabosi; Viongozi wa Simba SC jukwaani

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAHA YA KUPENDA SIMBA SC NI VITU KAMA HIVI...USHINDI POPOTE KWA YEYOTE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top