• HABARI MPYA

    Wednesday, January 08, 2014

    MAN GUNDU YA MOYES YAPIGWA TENA ENGLAND...MBONA HURUMA!

    Borini akishangilia baada ya kuiangamiza Man United usiku huu

    GUNDU limeendelea Manchster United chini ya kocha David Moyes, baada ya kufungwa mabao 2-1 na Sunderland katika mechi ya kwanza ya Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England usiku huu Uwanja wa Light. 
    Ryan Giggs alijifunga dakika ya pili ya pili ya  muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 45 za kipindi cha kwanza na Borini akaifungia Sunderland bao la pili kwa penalti dakika ya 65, wakati bao la kufutia machozi la United limefungwa na Vidic dakika ya 52.
    Hapa Vidic akishangilia baada ya kuifungia Man United
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN GUNDU YA MOYES YAPIGWA TENA ENGLAND...MBONA HURUMA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top