• HABARI MPYA

    Tuesday, January 07, 2014

    RATIBA ROBO FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI YAFUMULIWA BILA SABABU

    KAMATI ya Kombe la Mapinduzi, imefanya mabadiliko katika mechi za Robo Fainali na sasa Tusker FC ya Kenya iliyokuwa iende Pemba kumenyana na URA ya Uganda itabaki Unguja kumenyana na KCC ya Uganda pia.
    URA sasa watamenyana na KMKM ya Unguja, ambayo awali ndiyo iliyopangiwa kucheza na KCC. 
    Tusker FC sasa itabaki Unguja kumenyana na KCC ya Uganda badala ya URA

    Mecho zote za Robo Fainali zitachezwa kesho, KMKM na URA Saa 8:00 mchana na Azam FC na Cloves Saa 10:00 jioni Uwanja wa Gombani, Pemba na Uwanja wa Amaan, mechi ya kwanza itakuwa kati ya KCC na Tusker Saa 10:00 na Simba SC na Chuoni Saa 2:00 Usiku.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RATIBA ROBO FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI YAFUMULIWA BILA SABABU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top