![]() |
Beki wa KCC akimdhibiti Messi |
![]() |
Haroun Chanongo akiwatoka wachezaji wa KCC pembeni kushoto |
![]() |
Beki wa KCC akiondosha mpira hatarini dhidi ya mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe |
![]() |
Messi alihaha Uwanja mzima jana, lakini wapi |
![]() |
Nafasi pekee nzuri ya Simba SC kupata bao aliipata Messi, lakini pamoja na kuwatoka vizuri mabeki akakwama kwa kipa Magoola Omar |
![]() |
Messi alijaribu kumpiga chenga kipa huyo, lakini Magoola akaupiga mpira ukaenda nje na Messi akapitiliza |
![]() |
Stephen Bengo wa KCC kushoto akipambana na viungo wa Simba SC |
![]() |
Haroun Chanongo kulia akitafuta maarifa ya kumpita beki wa KCC |
![]() |
Jonas Mkude alijaribu kupiga shuti la mbali, lakini likapaa juu kidogo ya lango |
![]() |
Betram Mombeki wa Simba SC akimtoka beki wa KCC |
![]() |
Kikosi cha Simba SC jana |
![]() |
Kikosi cha KCC |
![]() |
Wazee wa benchi; Wachezaji wa akina wa Simba SC, kutoka kulia ni Zahor Pazi, Abdulhalim Humud 'Gaucho', Kaze Gilbert chini na Yaw Berko |
0 comments:
Post a Comment