• HABARI MPYA

    Saturday, April 12, 2014

    EVERTON YAISHUSHA ARSENAL LIGI KUU ENGLAND, GUNNERS SASA HATARINI KUKOSA LIGI YA MABINGWA

    EVERTON imeifunga bao 1-0 Sunderland nyumbani katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliofanyika Uwanja wa Light jioni hii.
    Bao lililoizamisha Everton alijifunga beki wa Sunderland, West Brown dakika ya 75 katika harakati za kuokoa krosi ya winga Gerard Deulofeu anayecheza kwa mkopo.
    Matokeo hayo yanaifanya Everton ifikishe pointi 66 baada ya kucheza mechi 33 na kupanda hadi nafasi ya nne,ikiishusha Arsenal ambayo ina pointi 64 za mechi 33 pia, hivyo kujiweka kwenye hatari ya kukosa tiketi ya Ligi ya Mabingwa msimu ujao.
    Ushindi: Wachezaji wa Everton wakishangilia bao la kujifunga na Wes Brown lililowapa ushindi jioni hii Uwanja wa LightLow point: Brown looks into the net after scoring an own goal for Sunderland
    Majuto mjukuu: Brown akisikitika baada ya kujifunga na kuizamisha timu yake, Sunderland
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: EVERTON YAISHUSHA ARSENAL LIGI KUU ENGLAND, GUNNERS SASA HATARINI KUKOSA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top