Pagumu: Mshambuliaji wa Chelsea, Eden Hazard akichezewa faulo na beki wa Norwich kwenye eneo la hatari, lakini refa akasema aliotea kabla katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Timu hizo zilitoka 0-0. Chelsea inafikisha pointi 79 katika mechi 37, na kubaki nafasi ya tatu nyuma ya Manchester City pointi 80 sawa na Liverpool walio kileleni kwa wastani wa mabao, baada ya timu zote kucheza mechi 36.
What next for Kieran Trippier?
-
Newcastle United defender Kieran Trippier has an open mind about his next
move as he focuses on finishing his St James' Park stay on a high.
26 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment