Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Dan Sserunkuma akifanya mazoezi gym na wenzake leo asubuhi eneo la Chang'ombe, Dar es Salaam. Simba SC inajiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara na Desemba 26, mwaka huu itacheza na Kagera Sugar ya Bukoba.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment