• HABARI MPYA

    Wednesday, May 06, 2015

    WAZIRI WA JK AMPA TUZO MRISHO NGASSA

    Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara (kulia) akimkabidhi Mrisho Ngassa wa Yanga SC tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu mwezi Aprili kabla ya mechi baina yao na Azam FC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

    Waziri Fenella akimkabidhi Ngassa mfano wa hundi ya Sh. Milioni kutoka kwa wadhamini wa Ligi Kuu

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAZIRI WA JK AMPA TUZO MRISHO NGASSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top