| Kipa wa Khartoum N ya Sudan, Adil Abelrasol El Tahir akiwa amedaka mpira huku mshambuliaji wa Gor Mahia, Michael Olunga akipitiliza katika mchezo wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mchana wa leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1 bao la Kharotum likifungwa na Ousmaila Baba dakika ya sita kabla ya Erick Ochieng kuisawazishia Gor Mahia dakika ya 55. | 
0 comments:
Post a Comment