TIMU YA MUGETA YAENDELEZA DOZI UJERUMANI, WENGINE WACHAPWA 2-0
Beki Mtanzania, Emily Mugeta anayechezea jNeckarsulm Sports Union (NSU) ya Daraja la Tano Ujerumani, akiwa na Yannick Titzmann, mfungaji wa moja ya mabao yao katika ushindi wa 2-0 jana dhidi ya TSV Pfedelbach katika mchezo wa kirafiki nchini Ujerumani. Bao lingine lilifungwa na Sebastian Kappes.
Beki Mtanzania, Emily Mugeta akiwatoka wachezaji wa TSV Pfedelbach katika mchezo wa kirafiki jana ambai timu yake, Neckarsulm Sports Union (NSU), ilishinda 2-0, mabao ya Yannick Titzmann na Sebastian Kappes.
Beki huyo wa zamani wa Simba SC, Emily Mugeta hapa akiwa na kikosi kizima cha Neckarsulm Sports Union (NSU)
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment