Danny Ings wa Liverpool akiambaa na mpira katika mechi mazoezi walioshinda 7-0 dhidi ya Felda United ya Malaysia Uwanja wa Bukit Jalil. Ings alifunga mabao matatu peke yake, huku mabao mengine yakifungwa na Lazar Markovic, Pedro Chiravella, Sheyi Ojo na Joao Carlos Teixeira PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Half Yours wins Melbourne Cup
-
Jamie Melham becomes only the second female jockey to win Australia's most
famous horse race.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment