David Silva (kushoto) akishangilia na Raheem Sterling baada ya wote kuifungia Manchester City katika ushindi wa 8-1 dhidi ya Vietnam mjini Hanoi leo. Silva alifunga mabao mawili sawa na Sterling na mengine yalifungwa na Aleksander Kolarov mawili moja kwa penalti baada ya Sterling kuchezewa rafu, Rony Lopes na Jose Pozo wakati bao la kufutia machozi la wenyeji lilifungwa na Nguyen Van Quyet dakika za majeruhi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How Athletic Club's unique player policy drives success
                      -
                    
BBC Sport visits Bilbao to explore Athletic Club's policy of fielding only 
Basque players, how this approach has brought success, and the importance 
of the...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment