Luis Suarez wa Barcelona akipambana na Leonardo wa Los Angeles Galaxy katika mchezo wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa mbele ya mashabiki 93,000 mjini Pasadena asubuhi ya leo. Barca ilishinda 2-1 mabao ya Suarez naSergi Roberto, wakati bao la LA Galaxy lilifungwa naTommy Meyer. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
53 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment