SIMBA SC WALIVYOTUA ZENJI TAYARI KWA KAMBI KUJIANDAA NA LIGI KUU
Kocha wa Simba SC, Muingereza Dylan Kerr akiwasili bandari ya Zanzibar asubuhi ya leo kwa ajili ya kuweka kambi na kikosi chake kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodadom Tanzania Bara inayoanza mapema Septemba
0 comments:
Post a Comment