AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI MPYA HATARI, MPIANA MONZINZI KUTOKA FC LUPOPO YA KONGO
MSHAMBULIAJi mpya wa Azam FC, Mpiana Monzinzi, jana alianza mazoezi muda mfupi baada kusaini mkataba wa mwaka mmoja kutoka St. Eloi Lupopo Lupopo FC ya kwao, DRC akichukua nafasi ya Mcameroon Thierry Akono aliyeuzwa Negeri Sembilan ya Malaysia.
0 comments:
Post a Comment