WACHEZAJI WA SIMBA SC WALIVYOONDOKA LEO DAR KUWAFUATA WAPINZANI, FC PLATINUMS ZIMBABWE
KIKOSI cha Simba SC kimeondoka leo asubuhi kwenda Zimbabwe kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa dhidi ya wenyeji, FC Platinums Jumatano ya wiki ijayo.
0 comments:
Post a Comment