WAWAKILISHi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho wameondoka jana kwenda Zanzibar kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Raundi ya Pili ya michuano hiyo dhidi ya Al Hilal Obayed ya Sudan JUmatano ijayo Uwanja wa Azam Comlex, Chamazi, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment