SIMBA WALIVYOWASILI MTWARA SAFARINI LINDI KUIFUATA NAMUNGO
NYOTA wa Simba wakiwasili Uwanja naa Ndege wa Mtwara leo tayari kuunganisha usafiri wa barabara kwenda Lindi ambako kesho watamenyana na wenyeji, Namungo Uwanja wa Lulu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kuanzia Saa 10:00 jioni, mechi ambayo itaonyeshwa LIVE na chaneli ya AzamSports1HD.
0 comments:
Post a Comment