SIMBA YATOA POLE KIFO CHA SHABIKI YANGA NA USM ALGER
KLABU ya Simba imetoa pole kwa kifo cha shabiki mmoja na wengine 30 waliojeruhiwa wakati wa mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika katí ya Yanga USM Alger ya Algeria Jumapili Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment