Mwanzo > YANGA > YANGA YAANZA KUMKABILI FEI TOTO KWA UTOVU WA NIDHAMU HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA YANGA YAANZA KUMKABILI FEI TOTO KWA UTOVU WA NIDHAMU KLABU ya Yanga imemtaka kiungo wake, Feisal Salum Abdallah kufika mbele ya Kamati yake ya Sheria na Nidhamu kujibu tuhuma za utovu wa Nidhamu zinazomkabili. Thursday, May 25, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANGA
0 comments:
Post a Comment