YANGA YATOA POLE KWA YALIYOTOKEA JANA DHIDI YA ALGER
UONGOZI wa Yanga SC umetoa pole kwa shabiki mmoja aliyefariki dunia jana wakati wa mchezo wa Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika baina yao na USM Alger Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment