TAMASHA LA SAMA KIBA KUFANYIKA AZAM COMPLEX JUNI 17
TAMASHA la Sama Kiba linatarajiwa kufanyika Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Jijini Dar es Salaam Jumamosi ya Juni 17, 2023. Sama Kiba ni tamasha linaloandaliwa kwa pamoja na Mwanasoka Mbwana Samatta anayecheza KRC Genk ya Ubelgiji na mwamuziki nyota nchini, Ally Kiba.
0 comments:
Post a Comment