Mwanzo > SIMBA > CHAMA AFUNGIWA NA KUTOZWA FAINI KWA MCHEZO MBAYA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SIMBA CHAMA AFUNGIWA NA KUTOZWA FAINI KWA MCHEZO MBAYA KIUNGO Mzambia wa Simba, Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji wa Ruvu Shooting, Abalkassim Suleiman. Sunday, May 21, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA SIMBA
0 comments:
Post a Comment