MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Nigeria, Ademola Lookman Olajade Alade Aylola Lookman jana amefunga mabao yote dakika ya 12, 26 na 75 kuiwezesha Atalanta Bergamasca Calcio kutwaa taji la UEFA Europa League kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Bayer 04 Leverkusen usiku wa jana Uwanja wa Aviva Jijini Dublin.
GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment