WENYEJI, Dodoma Jiji FC sare ya bila mabao na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Kwa matokeo hayo, Dodoma Jiji FC wanafikisha pointi 30 katika mchezo wa 26 nafasi ya 11, wakati Namungo FC wanafikisha pointi 31 katika mchezo wa 27, nafasi ya nane.
0 comments:
Post a Comment