KIKOSI cha Azam FC kimewasili salama Jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Coastal Union Jumamosi Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
GONGA KUTAZAMA VIDEO AZAM FC ILIVYOWASILI MWANZA
0 comments:
Post a Comment