KIKOSI cha Azam FC kimewasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) maarufu kama CRDB Bank Federation Cup dhidi ya mabingwa watetezi, Yanga SC Jumapili kuanzia Saa 2:15 usiku Uwanja wa Amaan.
GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment