WENYEJI, Ihefu SC wamelazimishwa sare ya bila mabao na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa CCM LITI mjini Singida.
Kwa matokeo hayo, Ihefu SC inafikisha pointi 29 katika nafasi ya 10 na JKT Tanzania inafikisha pointi 32 nafasi ya saba baada ya wote kucheza mechi 26.
0 comments:
Post a Comment