Mwanzo > HABARI ZA NYUMBANI > AZAM FC WAWASILI KIGALI KUIVAA RAYON KESHO AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI AZAM FC WAWASILI KIGALI KUIVAA RAYON KESHO TIMU ya Azam FC imewasili salama Jijini Kigali nchini Rwanda kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Rayon Sport kesho kwenye tamasha la Rayon Sport Day Uwanja wa Kigali Pelé, Nyamirambo.GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI Friday, August 02, 2024 AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI
0 comments:
Post a Comment