• HABARI MPYA

    Saturday, August 10, 2024

    GUEDE AFUNGA SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA AIGLE NOIR 1-0 LITI


    BAO pekee la mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Guédé Gnadou dakika ya 47 limeipa Singida Black Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya Aigle Noir ya Burundi leo katika mchezo wa kirafiki kuhitimisha tamasha la Singida Big Day Uwanja wa CCM Liti mjini Singida.  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GUEDE AFUNGA SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA AIGLE NOIR 1-0 LITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top