MO DEWJI ATEUA 'MIAMBA' SABA KUUNDA KAMATI YA MASHINDANO SIMBA SC
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohamed 'Mo' Dewji ameunda Kamati ya Mashindano itakayokuwa na Wajumbe saba, wakiwemo kigogo wa kundi la Friends Of Simba, Mohamed Nassor. Wajumbe wengine ni Azzan Said,Richard Mwalwiba, Nicky Magarinza, Juma Pinto, Farid Nahdi na Farough Baghozah.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment