• HABARI MPYA

    Saturday, June 16, 2012

    MISS KIGAMBONI 2012 NI EDDA SYLVESTER

    Miss Kigamboni 2012 katikati, Edda Sylvester, akiwa na mshindi wake wa pili Agnes Goodluck kuli na mshindi wa tatu Elizabeth Boniphace kushoto. Kulia kabisa ni mshindi wa nne Esther Albert ni kushoto mshindi wa tano Hadija Kombo. Shindano hilo limefanyika katika ukumbi wa Navy Beach, Kigamboni usiku huu. 
     

    Waandaaji Miss Kigamboni, Somoe Ng'itu kushoto na Angela Msangi kulia

    Kimwana akijipodoa shoo ikiendelea

    Mtoto Bite wa Mwalimu Nyerere Academy

    Wageni rasmi, Madiwani Suleiman Mathew kushoto na Doto kulia. Pembeni ya Doto ni Mama Cynthia Henjewele na pembeni na Mathew ni mke wake

    Wazee wa Ngwasuma, Nyoshi El Saadat akimchezesha sebene la Mundes mnenguaji wa bendi hiyo 

    Queen Suzzy akifanya vitu

    Diwani Mayhew anapiga picha warembo jukwaani
    Jaji Mkuu, Benny Kisaka katikati na wasaidizi wake pembeni, kulia Victor Robert Willy na kushoyo Rutta

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MISS KIGAMBONI 2012 NI EDDA SYLVESTER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top