TIMU ya taifa ya England imetoka nyuma na kuifunga Sweden mabao 3-2 usiku huu kwa mara ya kwanza katika mechi ya mashindano, Euro 2012 mjini Kiev