• HABARI MPYA

    Friday, June 15, 2012

    MISS KIGAMBONI SASA NI TOP FIVE

    Majaji wakiongozwa na Jaji Mkuu Benny Kisaka katikati

    Warembo wakicheza shoo ya ufunguzi

    Meza kuu, kutoka kushoto Mke wa Diwani Suleiman Mathew, Diwani Mathew, Diwani Doto Msawa na Mama Cynthia Henjewele, mmoja waasisi wa mashindano ya urembo nchini

    Wanafunzi wa Mwalimu Nyerere

    Walimbwende

    Nyomi

    Wazee wa Ngwasuma wakiburudisha

    Wanenguaji wa FM Academia wakitumbuiza usiku huu katika ukumbi wa Navy Beach, Kigamboni katika shindano la Miss Kigamboni City 2012 usiku huu. Mandhari ya ukumbi huu uliopo ufukweni mwa Bahari ya Hindi imetulia na nyomi si la kupimia. Panavutia. 
    Bite wa Mwalimu Nyerere Academy

    Mwanamuziki wa FM Academia akitumbuiza

    Wadau wakila bata zao huku wakipata burudani ya Ngwasuma kabla ya show la Miss Kigamboni City

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MISS KIGAMBONI SASA NI TOP FIVE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top