• HABARI MPYA

    Monday, October 01, 2012

    MHESHIMIWA SUGU ATOA NAKALA HUULIZI


    MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Osmund Mbilinyi maarufu kama Mr II Sugu, amemuweka hadharani mtoto wake wa kwanza, aliompata hivi karibuni... Cheki baba na mwana walivyofanana..
    Baba na Mwana....hongera zako...naamini atakuwa katika misingi ya kumuogopa Mungu
    Sasha-Desderia J. Mbilinyi mtoto wa kwanza wa Mr II 'SUGU"...kwa hisani ya Raha Tele Tz Blog
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MHESHIMIWA SUGU ATOA NAKALA HUULIZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top