MABAO ya Gareth McAuley na Romelu Lukaku dakika za lala salama jana, yameipa ushindi wa 2-0 West Brom dhidi ya Liverpool.
TAKWIMU ZA MECHI
Kikosi Liverpool: Reina, Johnson, Carragher, Agger, Jose Enrique, Lucas, Gerrard, Henderson (Sterling 60), Downing (Coutinho 78), Shelvey (Borini 60), Suarez.
Benchi: Jones, Allen, Skrtel, Wisdom.
Kadi ya njano: Suarez.
Kikosi West Brom: Foster, Reid, McAuley, Olsson, Ridgewell, Yacob, Mulumbu, Dorrans (Lukaku 74), Morrison, Brunt, Long (Fortune 86).
Benchi: Myhill, Rosenberg, Jones, Tamas, Thomas.
Kadi za njano: Reid, Ridgewell, Morrison, Brunt.
Wafungaji mabao: McAuley 81,Lukaku 90.
Mahudhurio: 44,752
Refa: Jon Moss
Gareth McAuley akifunga
West Brom wakishangilia bao la McAuley
Aibu gani hii Gerrard