KOCHA Roberto Mancini ameponda sheria ya kuzuia matumizi makubwa ya fedha, ambayo anaamini inaletwa ili kupunguza nguvu ya klabu kama Manchester City.
Huku sheria mpya ya Ligi Kuu juu ya matumizi ya fedha ikitarajiwa kutambulishwa ifanye kazi sambamba na UEFA, itazipa wakati mgumu klabu kama City kufanikiwa bila kuwekeza.
'Sikubaliani,' alisema Mancini. 'Ikiwa mimi ni tajiri, nataka kutumia fedha zangu zote timu yangu. Sikubaliani na hii kwa ujumla, lakini hayo ni maoni yangu binafsi.
Angalia video huko chini
Roberto Mancini (kulia) akizungumza na Sergio Aguero