• HABARI MPYA

    Friday, July 05, 2013

    CHELSEA YAKAMILISHA USAJILI WA KIUNGO WA UHOLANZI KWA BEI KARIBU NA BURE

    IMEWEKWA JULAI 5, 2013 SAA 3:52 USIKU
    KLABU ya Chelsea imekamilisha usajili wa kiungo wa Uholanzi, Marco van Ginkel.
    Kinda huyo wa umri wa miaka 20 anatua akitokea klabu ya Ligi Kuu Uholanzi, iitwayo Eredivisie, Vitesse Arnhem kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 9 na amesaini Mkataba wa miaka mitano Stamford Bridge.
    Van Ginkel ameibukia kwenye programu ya soka ya vijana ya Vitesse na alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa akitokea benchi Uholanzi ikitoa sare na Ujerumani  Novemba mwaka jana.
    New boy: Chelsea have confirmed the signing of midfielder Marco van Ginkel from Vitesse
    Kijana mpya: Chelsea imethibitisha usajili wa kiungo, Marco van Ginkel kutoka Vitesse
    Welcome: Van Ginkel signs his contract with club secretary/director David Barnard at Cobham
    Karibu: Van Ginkel akisaini Mkataba na Katibu wa klabu, David Barnard huko Cobham
    Chelsea's new signing Marco Van Ginkel signs his contract at Cobham
     
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: CHELSEA YAKAMILISHA USAJILI WA KIUNGO WA UHOLANZI KWA BEI KARIBU NA BURE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top